HolyMary.info


THE HAIL MARY IN SWAHILI


      Salam Maria umejaa neema Bwana yu nawe umebarikiwa kuliko wanawake wote na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa.
      Maria Mtakatifu, mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu. Amina.
      (
Phonetics:  Salam Maria  oo-may-ja  nayma   Bwana   yoo  nahway   oo-may-ba-ree-kee-wa   koo-lee-koh   wah-nah-wah-kee   woh-tee   nah  Yay-soo   m'zao   wah   toom-boh    lah-koh  ama-ba-lee-kee-wa.
       Maria  m'taka-tee-foo   mama  wah  Moon-goo   ootoo-ohm-bay   see-see   wah-koh-say-foo sah-sah   nah  sah-ah   yah    koo-fah     kway-too.  Ameenah. )

ANOTHER VERSION IN SWAHILI

      Nakwamkia Maria, umejaa nema, Rabbi yu kwako; una baraka wewe kuliko wanawake na Yesu mzao wa tumbo lako ana baraka.
      Maria mtakatifu, mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu, sasa na saa ya kufa kwetu.  Amina
 


Vocabulary found in the prayer:

Bwana - Lord, sir
kuliko - than
wana wake - women
wote -all
na - and, also, by, with
wa, ya - of
tumbo - womb, insides
mama - mother
Mungu - God
mama wa Mungu - Mother of God
sisi - we, us
wako (by itself) - thy, thine
sasa - now
saa - hour, clock watch, o'clock
kufa - to die
kwetu - to us, to or at our house
baraka - blessing
wewe - thou, thee
mzao - birth, child, offspring,
More Swahili words:
Mungu akubariki - God bless you
Mungu akubariki rafiki - God bless you friend
Mkristo - Christian
 

Return to Home Page    

 

Copyright 2005 - John Riedell - All Rights Reserved
Site Last Updated on 10/17/10